S. L. P. 71442, Dar Es Salaam, Tanzania
dctwsaccos@ticts.com / dctwsaccos@gmail.com
+255 757 927 582 / +255 677 054 685

Madhumuni

Kutoa huduma za mikopo kwa wanachama ili waweze kukidhi mahitaji mbalimbali ya kiuchumi na kijamii ili kuinua hali ya maisha ya wanachama wake.

Dhamira

Kustawisha na Kuboresha hali ya maisha ya wanachama wetu Kiuchumi na Kijamii kwa kutoa huduma bora za kifedha ikiwemo mikopo yenye riba na masharti nafuu, na elimu ya ujasiriamali ili kuwawezesha kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Dira

Dira yetu ni kuwa SACCOS tegemeo na kimbilio la haraka la wanachama wetu na jamii inayotuzunguka kwa kutoa huduma Bora za kifedha na kijamii kwa wanachama wetu na jamii nzima kwa ujumla.

Maadili

Uaminifu, Uadilifu, Uwazi, Ukweli, Usiri, Utiifu.