MKUTANO MKUU WA 11 WA DCTW SACCOS

freddy | Sept. 27, 2019, 1:14 p.m.

TANGAZO MKUTANO MKUU WA 11 WA DCTW SACCOS

File: MKUTANO MKUU 2019.jpg

Dhamira yetu

Kustawisha na Kuboresha hali ya maisha ya wanachama wetu Kiuchumi na Kijamii kwa kutoa huduma bora za kifedha ikiwemo mikopo yenye riba na masharti nafuu, na elimu ya ujasiriamali ili kuwawezesha kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.