TANGAZO LA GAWIO KWA WANACHAMA WOTE!!

freddy | Jan. 12, 2020, 3:26 p.m.

AHSANTE KWA USHIRIKIANO(SACCOS PAMOJA TUJENGE UCHUMI)

File: Gawio.pdf

Dhamira yetu

Kustawisha na Kuboresha hali ya maisha ya wanachama wetu Kiuchumi na Kijamii kwa kutoa huduma bora za kifedha ikiwemo mikopo yenye riba na masharti nafuu, na elimu ya ujasiriamali ili kuwawezesha kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.