Fred | May 26, 2020, 9 p.m.
Zifahamu Sheria ya huduma ndogo za Fedha kwenye Usimamizi wa Saccos nchini.
Kustawisha na Kuboresha hali ya maisha ya wanachama wetu Kiuchumi na Kijamii kwa kutoa huduma bora za kifedha ikiwemo mikopo yenye riba na masharti nafuu, na elimu ya ujasiriamali ili kuwawezesha kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.